Nimeshindwa kuelewa maana yake

madala mujipa

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
1,417
Reaction score
862
amani wadau
leo nina swali dogo ndugu zanguni kuhusu hii mtu kutuma post na kuna na inaambatana na maeleze sent by nokia....je maana yake nini na unafanyaje mi mgeni

ni hayo tu kila aulizae anataka kujua
 
Weka mada yako vizuri ueleweke mzee, hiyo isikupe shida nawewe waweza set tu.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji13][emoji13][emoji13]

Sent from my D2403 using JamiiForums mobile app
 
kama wewe mgeni acha kufatilia yasiyokuhusu
 
Hizo Kiki tu achana nazo .
 
Maana yake ni kuwa either anatumia simu husika ambayo ina JF mobile App au wengine wanaedit tu... Kwenye app kuna sehemu ya signature ndio maana wameweka hivyo, unaweza ukaset on or off
 
Maana yake ni kuwa either anatumia simu husika ambayo ina JF mobile App au wengine wanaedit tu... Kwenye app kuna sehemu ya signature ndio maana wameweka hivyo, unaweza ukaset on or off
Hatimaye nimefanikiwa kuutoa huo ujinga baada ya kusema huo ujinga unapatikana upande wa signature oughttt
 
Maana yake ni kuwa either anatumia simu husika ambayo ina JF mobile App au wengine wanaedit tu... Kwenye app kuna sehemu ya signature ndio maana wameweka hivyo, unaweza ukaset on or off
aksante mkuu kwa majibu yaliyoshiba ni wengi hatuelewi lakini tunaogopa kuuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…