mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja inatakiwa uwe angarau na degree ya uongo.
wengi wanakuwa na mahusiano zaidi ya moja.
lakini ni lazima siku utakamatika tu, hata utumie
mbinu gani.
nahisi ni mwanaume wa kipekee sana.
huwa siwezi kuwa na relation zaidi ya moja at a time..na kama ikiwa hivyo basi ujue lazima ntadakwa tuu!!
najua si jambo jema kuwa na relation zaidi ya moja bila sababu ila ni jambo ambalo lipo
nahisi mbinu na ujanja vimenipita kushoto........
alimaliza kunihadithia rafiki yangu........nilikosa cha kumshauri zaidi ya kumwambia atulie tu na wake!