Nimeshindwa kujizuia jamani

Kuna nauli, maandalizi ya usafi, vipodozi,wigi au nisuke kabisa,Pochi mpya, crop top mpya,au unataka nije unifunue kisha uniache labda siyo Mimi.

Mwanaume hata laki huna unaweza kuwa na Mimi?

Kuna mtu alinipa Milioni na nusu na hakunifunua kwakuwa alijua simpendi,sasa mwingine atume ishirini tu nakwambia atapiga simu,akuuue lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…