Nimeshindwa kujizuia jamani

Mmh
 
Usichanganye utoko na fangasi ukoko machicha nazi zinazohitaji Azuma. Utoko haunuki kama kibumbu chako kinanuka tafta Azuma hio ni fangasi.
Hivyo vyote unavovisema sio kweli. Huo ni uchafu au tatizo la kiafya
Hata kama mwanamke hajaguswa miaka K haitakiwi itoke hivyo vitu unaita futa sijui au mtindi.
Ni mucus tu, colourless na una utelezi basi. Me nimekubishia tu maelezo yako sijasema mahali kama nanuka usinikashif plz
 
Basi sawa mama au umechukiaa???
 
Mwanamke ambaye hajaguswa muda lazima atoe vitu vyeupe achana na vile vya fangasi
 
unataka nile maneno? we njoo na debe la mpunga nianze biashara ya vitumbua hapa kibarazani kwangu ndo nitapata nguvu ya kusikiliza maneno yako💃
Mpunga utapata wa kutosha kabisa, kwa sasa njoo tutengeneze watoto watano, watakaotusaidie huko mbeleni kutulimia mashamba yetu ya mpunga.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…