Nimeshindwa kujizuia jamani

ephen_ toa hivyo viatu haraka kwenye profile yako kabla na wewe hujafikiwa. ๐Ÿ˜€
 
Upo wapi?
 
Utajuaje, unataka nikuonyeshe vyote uwehuke??

Nyau weye, ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ,,,

Hii ya mwisho nishagundua kumbe nabishana na chizi minyege fangasi,
Wewe dada huna kitu kaa kimya,Mimi sibishani na mjasiriamali hata kidogo๐Ÿ˜‚ umenichekesha sana, Mimi sivyo unavyonifikiria,sema nikuongezee shilingi ngapi ili vitu visibanane hivyo
 
ukirudi utuambie I'd yako nyingine ni ipi haiwezekani uwe unachamba watu hiv kwa kujua nyuzi wanazo zipenda wakati kwenye nyuzi nyingine huwa hauonekani๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… ila unavituko dah
Mambo ya itelijensia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ