Nimeshindwa kujizuia jamani

Tuendelee kupata burudani ( knockout ya mama ) 😂😂 sasa ni round ya 1 half-time mpambano bado ni mkali, pande zote zikionesha umaridadi kwenye kupeleka mashambulizi kwa kushtukiza.
huku hapahitaji hasira aseee,, ukiweza we assume kila kitu ni utani ndo utatoboa vinginevyo unaweza gombana na asilimia kubwa ya watu
 
Una utoto mwingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…