Nimeshindwa kujizuia jamani

ila ukiwakuta wanavyo tunyooshea vidole sasa as if wao ni watakatifu,, labda shida yetu ni kujiachia sana ndo maan tunaonekana hatuna maadili🤭
Kwenye hayo mambo hamna mtakatifu wee. Hata ukirejea kwenye historia za hao walioitwa watakatifu basi nao pia walipatwa na kashfa. Hapana chezeya utamu wee. Hayo mambo hayana shekhe wala kadinali
 
Kwenye hayo mambo hamna mtakatifu wee. Hata ukirejea kwenye historia za hao walioitwa watakatifu basi nao pia walipatwa na kashfa. Hapana chezeya utamu wee. Hayo mambo hayana shekhe wala kadinali
hahah nimecheka et hapana chezea utamu alooooo😅😅,, mfano mzuri ni samsoni mbali na kuwa na minguvu yote ila mwishoe alilegezwa na kibinti kibichi au mfalume suleimani 👐
 
hahah nimecheka et hapana chezea utamu alooooo😅😅,, mfano mzuri ni samsoni mbali na kuwa na minguvu yote ila mwishoe alilegezwa na kibinti kibichi au mfalume suleimani 👐
 

Attachments

  • Screenshot_20260602-004843.png
    1.2 MB · Views: 18
ukienda sehemu kama iIringa wao wanaita figiri..

Anyway, Ngoja niache uwanja wa watu waendelee na mtanange.
 
🧔
Your browser is not able to play this audio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…