Nimeshindwa kujizuia jamani

Chai
 
Ila DA marry kwa kujiamulia mambo, khaaah.
Udugu Labella njoo hapa uone Marry Dicompoza na shengesha zake
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Maria Ana jina la mama Yesu ila anavyojiamulia mambo sasa..!!

Yani kuingia na kuingia nakutana na Marry Dikompoza na tag yako..!!

Kumtetea Marry D kazi sana..! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Kanichekesha hapa nakufa kucheka ujue.
 
kama nakufahamu hivi ww si Mary wangu mm hapa whackiest aka maverick
 
Kitu ninachojifunza kila siku hapa jf ni kwamba mtu ukimwambia uongo,anasema ni ukweli, ukimwambia ukweli anasema ni uongo
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Hawataki useme ukweli km una ashki majinuni jomoonii..!!

Ila Marry nakupenda uko muwazi sana hutaki kufa na tai shingoni..!!

Nyie vijeba acheni kumponda Marry Dikompoza km unaweza kumsaidia mfate.
Ingekuwa mwanaume mwenzenu kasema hivyo mngeshusha machimbo yote ya ma- afisa utramu na bei zao..!! Kwa Maria mnaleta nongwaโ€ฆ!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Humu ndani watu km watoto khaaa..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Kwahiyo unawaunganisha? ๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ