Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,388
- 7,223
Nimeshangaa Sana kukosa huduma ya TRA (KULIPA KODI) kisa sijapanga fremu. Dunia ya Sasa haihitaji watu kuwa na fremu au kuwa ofisini ndiyo wafanye biashara. Kuna baadhi ya biashara ambazo zinaweza fanyika online vzuri Tu bila hata kupanga fremu.
Kuna haja ya TRA kuja na mawazo mbadala, online ndipo biashara zinaelekea siku hizi, mambo ya fremu yanaenda kuwa outdated.
Kuna haja ya TRA kuja na mawazo mbadala, online ndipo biashara zinaelekea siku hizi, mambo ya fremu yanaenda kuwa outdated.