Nimeshindwa kumsoma!!!!!

Six MEN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! What!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ok let me put it right, 6+you= 7 And u just cant stop loving her! Wao! What a love fare tale!!!!!!!!!!!
 
Huyo kesha tundikwa mimba wewe umebung'aa tuu hapo , kweli huwezi kumsoma.... teh teh teh penda na mimba basi iliyotundikwa na kidume mwengine...
 
Achana na huyo malaya, unafahamu kitu inaitwa ukimwi wewe? Analia anakuonea huruma kwamba nawe utapata hiyo kitu! Kama bado unampenda sana, nashauri mwende ANGAZA pamoja, mpime then kama wote ni safi, kuto............................na kwa raha zenu.
 
Jibu ni kuwa kimbia tu kaka afu nenda ukapime mi nimetishwa na hiko kilio chake cha kinafiki.
 
Cheza Karate kijana. :A S-frusty::A S-frusty::A S-frusty:
 
Reactions: GY
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…