Kama huna matatizo kichwani, wewe ambaye hujaongea naye ndiyo unatakiwa umwelewe kwa kiwango cha juu zaidi. Hapa sasa na wewe unataka kuanza kuwapa watu wasiwasi kuzidi hata huyu mgeni anayeongelewa humu. Si za kuambiwa unachanganya na za kwako, au ?Sasa kama wewe uliyekuwa unaongea nae hujamuekewa, sisi ambao wala hatujamuina wala kumsikia tutamwelewa?
Kama huna matatizo kichwani, wewe ambaye hujaongea naye ndiyo unatakiwa umwelewe kwa kiwango cha juu zaidi. Hapa sasa na wewe unataka kuanza kuwapa watu wasiwasi kuzidi hata huyu mgeni anayeongelewa humu. Si za kuambiwa unachanganya na za kwako, au ?
andika Kwa kiingereza basi ueleweke utalii kesi ya kidunia ujuavyo jamiiforum ni chombo cha kiduniaHabari za leo, nilikuwa napiga story na mwingereza mmoja ambaye amewekeza kwenye sekta ya utalii hapa nchini hususani katika hoteli za kitalii, tulizungumza mengi kuhusu utalii nchini Tanzania.
Nilipo muuliza kuhusu namna alivyojipanga kupokea lundo la watalii baada ya filamu ya Royal Tour kuzinduliwa miezi michache ijayo, akacheka sana. Akaniamia "it was wastage of time" nikamuuliza kivipi akasema watu wazima hawapaswi kujadiliana utoto hivyo tubadili mada.
Nimeshindwa kabisa kumwelewa huyu bwana.
Siyo Osmosis tu, hata diffusion pia. Nini maana ya inference? Ulisoma Biology siyo? Kwenye Practical mtihani wa darasa la 12 hukuwa unatumia inference kujibu maswali ya mtihani huo?Yani mtu aliyeko kwenye scene aliyemuona mzungu na kumsikia hajamuelewa..mimi nimuelewe?
Haya, wewe umeelewaje? Maana inaonekana ubongo wako unaweza kufanya Osmosis kutoka mbali..
Siyo Osmosis tu, hata diffusion pia. Nini maana ya inference? Ulisoma Biology siyo? Kwenye Practical mtihani wa darasa la 12 hukuwa unatumia inference kujibu maswali ya mtihani huo?
Vipi mbona umetokwa na povu sana imekuuma eee,Wewe mwenyewe umejigeuza mzungu na ukachaguwa kuwa muingereza.
Kisha ukaamua kujihoji na kisha ukaanza kutuandikia utumbo wako humu.
Acheni kuwa na positive attitude kwa kila jambo.
Kwa mtindo huu ndio maana mtaendelea kumuona kila mzungu ni Padre.
Kumbe wengine wako humu kwa special mission.
Utalii hukuzwa kwa kujitangaza, sio kwa utalii wa viongozi. Kila kizuri cha Tanzania Wakenya wameshatangaza kiko kwao. Channel ya safari inaonekana ukisha fika bongo sio kabla. Ukifungua CNN utaona wenzetu wana post za kuita watu kwao. Rwanda inajulikana duniani kuliko bongo kwa matangazo sio Kagame kwenda kuangalia sokwe.Habari za leo, nilikuwa napiga story na mwingereza mmoja ambaye amewekeza kwenye sekta ya utalii hapa nchini hususani katika hoteli za kitalii, tulizungumza mengi kuhusu utalii nchini Tanzania.
Nilipo muuliza kuhusu namna alivyojipanga kupokea lundo la watalii baada ya filamu ya Royal Tour kuzinduliwa miezi michache ijayo, akacheka sana. Akaniamia "it was wastage of time" nikamuuliza kivipi akasema watu wazima hawapaswi kujadiliana utoto hivyo tubadili mada.
Nimeshindwa kabisa kumwelewa huyu bwana.
HuelewikiUtalii hukuzwa kwa kujitangaza, sio kwa utalii wa viongozi. Kila kizuri cha Tanzania Wakenya wameshatangaza kiko kwao. Channel ya safari inaonekana ukisha fika bongo sio kabla. Ukifungua CNN utaona wenzetu wana post za kuita watu kwao. Rwanda inajulikana duniani kuliko bongo kwa matangazo sio Kagame kwenda kuangalia sokwe.
Jf, the only place where anyone can be anybody and anywhere.Habari za leo, nilikuwa napiga story na mwingereza mmoja ambaye amewekeza kwenye sekta ya utalii hapa nchini hususani katika hoteli za kitalii, tulizungumza mengi kuhusu utalii nchini Tanzania.
Nilipo muuliza kuhusu namna alivyojipanga kupokea lundo la watalii baada ya filamu ya Royal Tour kuzinduliwa miezi michache ijayo, akacheka sana. Akaniamia "it was wastage of time" nikamuuliza kivipi akasema watu wazima hawapaswi kujadiliana utoto hivyo tubadili mada.
Nimeshindwa kabisa kumwelewa huyu bwana.
Maono gani?Atakayekuja ataendeleza hayo maono....... tuna "Brand Tanzania" ila ipo kama project tu.
Hasa ulitaka kufahamu kwa upande upi ? Nimejibu muda sina kumbukumbu tebaMaono gani?