Nimeshindwa kupata Capacitor ya 9uf 450 vac ya Washing Machine.

SankaraBoukaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2019
Posts
1,213
Reaction score
1,918
Nimeshindwa kupata Capacitor ya 9uf 450 vac kwa ajili ya Washing Machine, madukani Kariakoo zinazopatikana ni 10uf 450vac au 8uf 450vac, wapi naweza pata hii ya 9uf 450 vac?
1736500822833.png
 
Unapata zipi. Kifizikia huwa tunafanya parallel su series connection ili kufananisha na hio iliokuwepo. Kwa hio chukua zile ndogo ndogo ziunge in parallel ili ku add kupata hio unayoitaka. Kama ni fundi ziunge hivyo kisha zimount kwenye eneonlake. Ingawa utepata range sio exactly value. Hii iulikuwa tunaifanya kwenye resistor tunapofanya exprment za fizikia. Unakuta manual inakutaka utume labda 4 ohm ila haipo kwa hio unaziunga in series labda 1 ohm 2 ohm na 1 ohm. . Try it. Na ilikua tunafanya kwenye analogue system.
 
Ni kweli capacitor zikiwa parallel unajumlisha . Hilo wazo nitalifanyia kazi.
 
Kwani wewe ni fundi?
Kama sio fundi basi fundi atakuwa anaelewa madhara ya kuweka tofauti na hiyo. Inategemea hiyo capacitor ilikuwa kwenye eneo gani, kama ni kwenye motor basi hata 10uf inafaa. Ila kama ilikuwa kwenye sehemu ya digital. Itabadilisha mfumo na pengine isifae.
 
Back
Top Bottom