Unapata zipi. Kifizikia huwa tunafanya parallel su series connection ili kufananisha na hio iliokuwepo. Kwa hio chukua zile ndogo ndogo ziunge in parallel ili ku add kupata hio unayoitaka. Kama ni fundi ziunge hivyo kisha zimount kwenye eneonlake. Ingawa utepata range sio exactly value. Hii iulikuwa tunaifanya kwenye resistor tunapofanya exprment za fizikia. Unakuta manual inakutaka utume labda 4 ohm ila haipo kwa hio unaziunga in series labda 1 ohm 2 ohm na 1 ohm. . Try it. Na ilikua tunafanya kwenye analogue system.