Kweli kama alivyosema Kbd hapo kwenye red, inawezekana huyu dada ndo anajenga mazingira ya kutoaminiwa na mumewe. We dada jitahidi kuwa nomo!
kilicho mkuta huyo mume ashum kingekukuta wewe...afu mwenzio anakujibu km unavyojibu wewe....UNGEJISIKIAJE?:ballchain:
Anacholalamika mkewe ni kwamba mumewe amekuwa anamtuhumu
na kumtukana kila siku kuwa ana wanaume wengine huko nje, matusi na kero
za huyu mwanaume zimezidi ndo akafikia kuniuliza hili swali afanyeje? aachane nae?
Kinachomkera zaidi ni hayo matusi na kelele za kutuhumiwa mara kwa mara
Sasa nimeelewa maana ya SIGNATURE yako hapo chini.
dada yangu umenena na kama we gazeti unikuwa unammezea mate ushindwe na ulegeeKwani kusex lazima? Mbona watu tunamiaka kadhaa na tupo fresh bana
watu wangapi hawafanyi
aliapa kifo ndo kitakachowatenganisha
kukosa sex ndani ndo kifo?
Mwambie atulie
Kwani kusex lazima? Mbona watu tunamiaka kadhaa na tupo fresh bana
watu wangapi hawafanyi
aliapa kifo ndo kitakachowatenganisha
kukosa sex ndani ndo kifo?
Mwambie atulie
Depression ya kukosa game ni maradhi tosha kwangu maana inaniweka majaribuni na sasa isitoshe hizo shutuma zisizo za msingi. Anipishe...sikuumbwa na chuma
Aku anipishe mie...sikutoka kwetu kufata ugali. hawezi kazi simply akae kando, kama damu inachemka kwanini nizeeke kwa kutamani ikiwa yeye hawezi. Domo chafu...kazi hawezi kipi kiniweke?
Duh, siko hivyo ndugu yangu mi sipendi waliochanganya rangidada yangu umenena na kama we gazeti unikuwa unammezea mate ushindwe na ulegee
Kwani kusex lazima? Mbona watu tunamiaka kadhaa na tupo fresh bana
watu wangapi hawafanyi
aliapa kifo ndo kitakachowatenganisha
kukosa sex ndani ndo kifo?
Mwambie atulie
kumkimbia mtu eti kwa sababu ametukana is a lame excuse... huyo mwanaume anahitaji psychological and other supports katika kipindi hiki kigumu cha maisha yake...so sad kwamba watu wanaona raha kutoa viapo ambavyo circumstances zinapo-demand hawawezi kuvitekeleza
Aku anipishe mie...sikutoka kwetu kufata ugali. hawezi kazi simply akae kando, kama damu inachemka kwanini nizeeke kwa kutamani ikiwa yeye hawezi. Domo chafu...kazi hawezi kipi kiniweke?