Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
With a wife like you, who needs to get married. Bora kuwa mwanachama wa chama cha "Wagumu".Aku anipishe mie...sikutoka kwetu kufata ugali. hawezi kazi simply akae kando, kama damu inachemka kwanini nizeeke kwa kutamani ikiwa yeye hawezi. Domo chafu...kazi hawezi kipi kiniweke?
With a wife like you, who needs to get married. Bora kuwa mwanachama wa chama cha "Wagumu".
Aku anipishe mie...sikutoka kwetu kufata ugali. hawezi kazi simply akae kando, kama damu inachemka kwanini nizeeke kwa kutamani ikiwa yeye hawezi. Domo chafu...kazi hawezi kipi kiniweke?
Kwani kusex lazima? Mbona watu tunamiaka kadhaa na tupo fresh bana
watu wangapi hawafanyi
aliapa kifo ndo kitakachowatenganisha
kukosa sex ndani ndo kifo?
Mwambie atulie