Nimeshindwaa kulala natafakari mengi...

Mlinzi kaulizwa na moja kati ya wapangaji jana alikuwa wapi [emoji4][emoji4]kadai anataka kuacha kazi maana kazi ni ngumu na yeye anaogopa kulinda nyumba kubwa vile mbali na msharaha kasema anayaweka maisha yake hatarini kiufup anaogopa kuvamiwa...

Kumbe uwa ikifika usiku saa 7 anaenda kwake kulala anakuja saa kumi na nusu Alfajil

Anavo dai atafutiwe mlinzi mwingine wawe waliwi yeye tu hawezi
 
Ungemla kimasikhara huyo binti.right now ungekua unatype kisa kwenye uzi wa kimasikhara
 
Nilipga haikupatina pia wenzangu waliniambia nisinyanyuke kumsikiliza
Good Girl,
Dunia ya sasa haina huruma mtu kama ana tatizo aende Police Station au Nyumba yoyote ya ibada nadhani kwa usiku ni rahisi kusaidiwa kuliko kugonga nyumba za watu, hiyo ni kwa usalama wake pia sababu hajui anayemfungulia na kumuhifadhi na yeye ana roho gani.
 
Yeah iko hvo pia nimejifunza next time nata siangaiki
 
Yaani umfungulie mtu usiyemjua usiku!!!!! Sio watu wote waendeshao magari/watembeao kwa miguu barabarani wana kazi halali, kumbuka pia wanawake/watoto wanatumiwa sana kwenye uhalifu. Hiyo nyumba mtaanza kuchorewa ramani muda si mrefu.
Bora wali maharage, kuliko wali mwengu
 
Mara umegoma kufungua unalala, unashangaa mtu huyu hapa pembeni kitandani. Kaingiaje hujui.

Hivi ungefanyaje? [emoji3]
 
Mara umegoma kufungua unalala, unashangaa mtu huyu hapa pembeni kitandani. Kaingiaje hujui.

Hivi ungefanyaje? [emoji3]
Daah nazimia wallah[emoji851][emoji851][emoji851]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…