Elections 2010 Nimeshituka............................

Elections 2010 Nimeshituka............................

MovingForward

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2009
Posts
489
Reaction score
49
Kuna watu wanataka kuleta uchochezi hapa JF. Wasiokuwa na data za kutosha acheni mchezo wa kutupandishia mori bure!! Mtu anaandika kichwa cha post/thread ukizama ndani longolongo tupu!! Blaablaa hazitusaidii, ni uchochezi kama hauna data.
 
Umeshituka leo? Ukweli ni kwamba JAMII FORUMS inatumiwa na CHADEMA kuendesha propaganda. Mimi naipenda lakini kwa sasa nimeanza kupatwa na wasiwasi mkubwa.
 
Yaani mie leo JF imenishitua sana matokeo yanakuja mara mbilimbili
 
Back
Top Bottom