Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.
Du! Sitashangaa kama wewe ndio wale wale! Pole maskini!
Hata nchi tajiri zenye high employement rates wananchi wanafanya the same...Mkuu unashindwa hata kuficha uoga na uzandiki na wasiwasi wa kukosa ulaji wa kifisadi?Una wasiwasi gani kama kura za ccm nazo zinalindwa?Naona mambo ni tight in ever angle...Pole sana.Tanzania ni ya wote,hopefully utaelewa hilo mara baada ya mabadiliko ya kweli kuwekwa wazi.Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.
Kazi tutafanya next week,yaani leo ndo umeona umuhimu wa kazi baada ya chama cha mafisadi kuzidiwa nguvu?tunasubiri Dr.slaa atangaze mpango mpya wa ajira si hii ya danganya toto ya ccm!tena ukome kabisa!Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.
.kaka wew lazima utakuwa walewale.nakushangaa sana na hujuijamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana kazi za kufanya? Si vyama vina wawakilishi na viongozi wao si ndio wafanye hiyo kazi.