Ungekaa kidogo ungeshuhudia mvua ya vumbi, ungelazimika kununua miwani ya jua make sipati picha ya hicho kijiji. Kipindi kile wanapendekeza kuwe makao makuu hitaji lilikuwepo. Lakini kwa sasa, umuhimu haupo, tatizo ni ukurupukaji wa jiweNaombeni nitoe Ushuhuda wa Safari yangu hii ambayo niliianza juzi j5 hadi hivi leo ndio natoka hapa Dom ila WHY DODOMA KUITWA JIJI??? Nimepata shock sana wazee wa tafakuri ya JIJI sio kwamba alisema jiji amekosea ila HADHI ya jiji wote tuliowahi kutembelea majiji makubwa barani Africa tunalifahamu nini maana ya neno JIJI.
Sasa naomba niwape nilichokiona mimi pale DOM aisee hata kama wakoloni walisema pale ndio katikati ya Tz basi sawa ila sio kila katikaki ya NCHI lazima pasimikwe kuwa jiji,
Sijaona vitu hivi vinavyotambulisha JIJI
[emoji117] Barabara za lami za viwango?
[emoji117] Maghorofa mwanzo hadi katikati ya mji?
[emoji117] Mataa ya kuongozea magari ya kutosha?
[emoji117] Road reserve ya kutosha?
[emoji117] Pale Bungeni taa zake hazitoshi kabisa na
tena zingine haziwaki kabisaaaaa??
[emoji117] Maeneo ya kuingilia pale Bunge mkono wa
kushoto kutoka Dar maeneo yake ni
machafu, Nyasi zinatunza hadi Nyoka.
[emoji117] Vumbi na Baridi kwa kipindi hichi ni baadhi
ya mada nyongeza tu.
Naombeni nanyi mloyaona pale panapoitwa JIJI tujuzane hapa maana najua viongozi wa Serikali hapa wapo watasikia hichi kilio chetu wanaTanzania.....
kiben10 wa Zinjathropus wa History F2
Dom kua jiji mi sioni ni tatizo(japo sihafiki)
Tatizo ni makao makuu kua hapo.tuliambiwa majaliwa na makamu wamehamia dom,ila kila siku wapo dodoma
ila umeiweka kwa hasira haijakaa vizuri ulichoandika na ulichotaka kuandika havijafanana! nafikiri ulikuwa unamaanisha "unaonaje ukienda kuishi kwenye hayo majiji makubwa uliyotembelea". mwisho wa kurudia.Unaonaje usiende kuishi kwenye hayo majiji makubwa uliyowahi kutembelea.?
Nakubaliana nawe kuwa hao viongozi uliowataja, kila siku wapo Dodoma.Dom kua jiji mi sioni ni tatizo(japo sihafiki)
Tatizo ni makao makuu kua hapo.tuliambiwa majaliwa na makamu wamehamia dom,ila kila siku wapo dodoma
Ulishafika Tanga na Mbeya nayo ni majiji atiNaombeni nitoe Ushuhuda wa Safari yangu hii ambayo niliianza juzi j5 hadi hivi leo ndio natoka hapa Dom ila WHY DODOMA KUITWA JIJI??? Nimepata shock sana wazee wa tafakuri ya JIJI sio kwamba alisema jiji amekosea ila HADHI ya jiji wote tuliowahi kutembelea majiji makubwa barani Africa tunalifahamu nini maana ya neno JIJI.
Sasa naomba niwape nilichokiona mimi pale DOM aisee hata kama wakoloni walisema pale ndio katikati ya Tz basi sawa ila sio kila katikaki ya NCHI lazima pasimikwe kuwa jiji,
Sijaona vitu hivi vinavyotambulisha JIJI
[emoji117] Barabara za lami za viwango?
[emoji117] Maghorofa mwanzo hadi katikati ya mji?
[emoji117] Mataa ya kuongozea magari ya kutosha?
[emoji117] Road reserve ya kutosha?
[emoji117] Pale Bungeni taa zake hazitoshi kabisa na
tena zingine haziwaki kabisaaaaa??
[emoji117] Maeneo ya kuingilia pale Bunge mkono wa
kushoto kutoka Dar maeneo yake ni
machafu, Nyasi zinatunza hadi Nyoka.
[emoji117] Vumbi na Baridi kwa kipindi hichi ni baadhi
ya mada nyongeza tu.
Naombeni nanyi mloyaona pale panapoitwa JIJI tujuzane hapa maana najua viongozi wa Serikali hapa wapo watasikia hichi kilio chetu wanaTanzania.....
kiben10 wa Zinjathropus wa History F2
Dar labda 20% tu utasema yes lakini huko kwingine aibu tupu.mbona hiyo das lama yenye chafu sana afadhari hata ya dodoma.