OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Katika kumbukumbu zangu toka nianze kuwa mpenzi na mfuatiliaji wa mpira wa Bongo,sijawahi kushuhudia timu yeyote inayoshiriki kombe au ligi kubwa kukimbia mchezo isipokuwa Yanga
Ilikuwa ni 28 June 2008 katika kombe la Kagame dhidi ya Simba SC. Tukiwa tumejaa ukumbini kusubiri game,kwa mda mrefu tukashindwa kuelewa kuhusu Yahnga SC. Tunaona Mnyama pekee akipasha misuli tayari kwa mpambano
Hatimaye Msonye akatoa tamko la kulaani Yanga kuingia uwanjani ikitoa visingizio visivyo na akiri. Ukweli ukabaki palepale kwamba Simba alikimbiwa
Kabla na baada ya hapo sijawahi kushuhudia timu ikiweka mpira kwapani isipokuwa Yanga SC dhidi ya Simba
Lakini pia nimeshuhudia kombe la mtani jembe kuishia kusikojulikana baada ya Yanga kula 5 bila