HahaaaaLeo ninapanda bodaboda jamaa anasema JANA ALINUSURIKA AJALI KUBWA SANA KISA UZEMBE WAKE MWENYEWE.
mimi;(huku mapigo ya moyo yakienda kasi)NISHUSHE PALE MBELE Bro...
Na NDEVU Kama zimeota au hajaanza ota ndevuNiliwah mpa mmoja amri....."_ukiendesha mshale ukazidi 40 sikulipi" aliendesha kwa umakini kweli. Usipowaambia mashart yako wanakukimbiza ( ila angalia mavazi...macho ...na nywele kabla hujachagua bodaboda kama wako wengi )