Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,159
- 1,274
Mwananyamala bi Khadija hana shida na mtu yeye ni mpole si chakaramu kama umuonavyo jukwaani alikuwa vizuri na kila mtu.
πππ hisa tena. Umejua kunichekesha. Anza na mai, Nina hakika utammudu π. Yoyote ataemkera ajue anaturudisha kwenye ujana hatutokubali. Bi Khadija ukinunua ugomvi tuuzie hisa na sisi tunautaka.
Sasa huyo marehemu Nasma tunamuulizaje mtu kishakufa? Ila hapa Bi Khadija kachemsha mno, mwanaye ni zezeta wa mapenzi, mtu hatakiwi lakini bado analazimisha tu maana dalili zote za mwanawe kutumiwa zinaonekana lakini mtoto kawa kiziwi na kipofu ghafla. Hapa wala asinunue ugomvi, akae chini na mwanae na kumchapa viboko mpaka akili imrudi la sivyo atajikuta anagombana na taifa zima la Tanzania kwani mwanae anakera mno na watu wanamsema kwa sababu wanamuonea huruma. Bi Khadija asipoangalia huyu mtoto atakuja kujiua mapema kwa kujinywea sumu au kujipiga kitanzi.Bi Khadija ndio msanii wangu pendwa wa muda wote, toka enzi za TOT tunavimba nae. Mwananyamala bi Khadija hana shida na mtu yeye ni mpole si chakaramu kama umuonavyo jukwaani alikuwa vizuri na kila mtu. Muulizeni marehemu Nasma. Khadija mnamuita mama kwetu wengine ni dada tena gwiji haswa. Yoyote ataemkera ajue anaturudisha kwenye ujana hatutokubali. Bi Khadija ukinunua ugomvi tuuzie hisa na sisi tunautaka.
Kashafufuka?Muulizeni marehemu Nasma
Alimjibuje marehemuBaada ya kufariki Nasma, bi Khadija alijaribu kumjibu
Hazipo youtube,boomplay,audiomack na kwenye platforms nyingineππππ€π€ we da Judy weeee, natamani ka nikusimulieee afu nikusimulie tena. Nimelia sana aisee, hivi nitazitoa wapi hizi nyimbo.
Utalijua jiji haikuimbwa na marehemu nasma. Iliimbwa na East Africa melody nadhani, na khadija kopa aliijibu kwa kuimba nalijua jiji.Alimjibuje marehemu
Alimjibuje marehemu
Ok nimekupataUtalijua jiji haikuimbwa na marehemu nasma. Iliimbwa na East Africa melody nadhani, na khadija kopa aliijibu kwa kuimba nalijua jiji.
Nadhani hukuwa umenielewa nilichomaanisha. Ilishazoeleka vijembe ni nasma na khadija, ndio maana nikasema alipofariki nasma, khadija aliijibu utalijua jiji lakini haikubamba kivile
...nimezaliwa ocean road.khadija kopa aliijibu kwa kuimba nalijua jiji.
Eeh, ndio nakusika. Alimjibu banza kivipi? Mimi kwenye umbea wangu sifahamu hivyo. Maana nalijua jiji bishoo najua ilijibiwa ea melody....nimezaliwa ocean road.
Na hii nayo si ilijibiwa na Banza stone