nimesikia kuna kifaa cha kuangalia siku za hatari kwa msichana

sirleondavid

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2012
Posts
377
Reaction score
25
habari wajumbe!
nimesikia kuna kifaa cha kuangalia siku za hatari kwa msichana, kujua kama yai linakaribia kushuka au la,
naomba ufafanuzi kinaitwaje? kinafanyaje kazi, na vinapatikana wapi?.

thanks
 
Kama kipo wanafunzi watakuwa hawapati mimba na siye tulieoa kitatufaa tuachane na wake zetu kuweka loop
 
lile tangazo uliloliona si kifaa kilichotengenezwa kwa teknologia raisi,kazi yake kubwa ni kupima mimba kwa kutumia haja ndogo ya mwanamke!
 
Angalia ITV utaona hilo tangazo, linarudiwa rudiwa sana hasa wakati wa taarifa ya habari ya saa mbili usiku. Inaonekana watu wanaogopa kupata mimba lakini Ukimwi hawauogopi kabisa loo. Inaonyesha ni kwa kiasi gani watu wanajilipua wenyewe kila siku.
 
ndiyo kpo..nmewah tumia,lakin uwe makn uckwepe mimba ukapata ukimwi..
M mwenzako mjanja mjanja kama C.RONADO akiwa uwanjani,ndo maana nak2mia hcho kfaa..
Na kimeandaliwa special kwa ajir ya walio kwenye ndoa kupanga uzaz..
 
Kifaa hicho kitaongeza umalaya na ukimwi mimi ningekuwa waziri wa afya ningekikatalia mbali
 
habari wajumbe!
nimesikia kuna kifaa cha kuangalia siku za hatari kwa msichana, kujua kama yai linakaribia kushuka au la,
naomba ufafanuzi kinaitwaje? kinafanyaje kazi, na vinapatikana wapi?.

thanks

Najua kuna digital ovulation test. Unaweza ukanunua ya clearblue digital ovulation test.
The test works bt detecting the increase (surge) in a hormone cal lutenizg hormone ( LH) in yr urine. The LH surge occurs approximately 24-36 hrs prior to the release of an eggfrom your ovaries a process known as ovulation. You are at your most fertile on the day you LH surge is detected and the day after.

Kwa bongo cjui kama zipo but marekani dola 60. Tumia kwa kupata mimba sio kukwepa inaweza kula kwako








Angalizo tumia kama unataka kupata mimba ila kama unataka kukwepa not reliable unaweza kupata. Sijui kama bongo zipo kwa marekani dola 60
 
zipo ovulation test strips, zinafanya kazi kama zile za kupimia mimba.

viko cheap na user-friendly, untumia mkojo, unakizamisha to a certain level, ukiona mistari miwili ujue test is positive na maana yake u will ovulate within 24 to 48hrs na kipindi hili ukiavoid sex u will protect urself from becoming pregnant,

hata Tanzania vinapatikana kwa bei ambayo kila mtu anamudi.

Kumbuka hizi strips hazizuii maambukizi ya virusi vya ukimwi
 
Je vinapatikana wapi na kwa beigani vitatufaa sana wanandoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…