Clinton Manangwa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 214
- 223
Hela nyingi ukilinganisha na zipi mkuu. Maana wingi wa kitu huja kwa kulinganisha.Wakuu,wanaofahamu biashara ya pool table tukutane hapa maana nasikia kuna hela nyingi huku.
Nafikiri inalipa, ukienda Uganda unakuta nje ya nyumba ya mtu kuna pool table au Kwenye mgahawa watoto wengi na watu wazima wanaenda kucheza buku yako tu,,,,sio huku mpaka uende bar
Hela nyingi ukilinganisha na zipi mkuu. Maana wingi wa kitu huja kwa kulinganisha.
Mfano kwenye pool table unapata pesa nyingi kulinganisha na pesa unayopata kwenye fuso la mchanga.
Sasa 10k ndo unasema inalipa?Okay japo mimi nipo migodini lakini naona kama ni fursa fulani maana naona vijana wanacheza sana na nikimuuliza mwenye pool anasema kwa siku akikosa sana lazima apate 10k
Sasa 10k ndo unasema inalipa?
How?, kwa tusiofaham... Pooltable inauzwa bei gani? Ukishaanza kufanya nayo biashara baada ya muda gani hiyo pesa inakua imerudi? Inahitaji maintenance yoyote?Ndio inalipa
ukisikiliza sana yanayosemwa hapa Jf hautafanya hio biashara.Aiseee kumbuka ni pesa ya uhakika inayoingia tu mkuu
How?, kwa tusiofaham... Pooltable inauzwa bei gani? Ukishaanza kufanya nayo biashara baada ya muda gani hiyo pesa inakua imerudi? Inahitaji maintenance yoyote?
ukisikiliza sana yanayosemwa hapa Jf hautafanya hio biashara.
tafuta eneo zuri, nenda kanunue Table, tafuta master pool anaejua hesabu vizuri
Usikubali token ziwe 200 hapana, nunua token zile za kiwandani ndio zitakuletea hesabu vizuri maana zitakuwa zinahesabiwa.
Kwa bei ya sasa, Token ni 300 mpaka 500.
zikichezwa gem 50 hapo una 15k uhakika
Hii biashara nilishawahi kuifanya,inalipa kweli,ila kama zilivyo biashara nyingine ina changamoto zake.Inahitaji mara zote kama mmiliki uwepo pale kwani mara nyingi wachezaji kwa kutokuwa waaminifu huwa wanachezea ule mtego unaofyatua mipira kwahiyo mipira iliyoingia ndani inaweza kutolewa bila ya kuingiza coin ya mchezo,hili linaweza kufanywa na wachezaji au msimamizi utakayempa hiyo kazi.Pool table moja miaka ile ilishafika mil.1 sijui kwa sasa bei zikoje,ziko za aina mbili kuna ambazo ubao wake wa kuchezea pale juu ni aina flani ya plywood huwa baada ya muda inapinda,meza za hivi zilikuwa bei ya chini kidogo,na nyingine zina aina flani kitu kama chupa inaitwa slate hizi zina bei ya juu kidogo zenyewe hazipindi.Inahitajika maintanance hasa ile mashine kila baada ya muda flani,kuna fimbo zile huwa zinavunjika,kuna kikofia juu ya fimbo huwa kinaisha ni lazima kila baada ya muda ubadilishe na kitambaa kile cha kwenye meza huwa kinachoka kinahitaji kubadilishwa....How?, kwa tusiofaham... Pooltable inauzwa bei gani? Ukishaanza kufanya nayo biashara baada ya muda gani hiyo pesa inakua imerudi? Inahitaji maintenance yoyote?
Ukiona serikali inapiga vita jambo flani jua lina hela😅Wakuu,
Wanaofahamu biashara ya pool table tukutane hapa maana nasikia kuna hela nyingi huku.
Je, ni kweli?
Ukiona serikali inapiga vita jambo flani jua lina hela[emoji28]
Hii kitu inauzwa kuanzia 1.8M mpaka 2.5M kulingana na malilio yake sasa ukishanunua ww nikutafuta site nzuri hasa kwenye center zilizochangamka na ukilitunza vizuri kazi yako itakua kubadili kitambaa tu na kwa mwaka unaweza badili mara mbili tu na gharama ni 60K kila ukibadili na kila siku pesa ya uhakika kuingiza haipungui 10K na kuendelea.
Mara mbili kwa mwaka.!!!??? Acha urongo, kuna jamaa hapa kila baada ya miezi miwili ana badili.