Nimesikia mbunge akisema eti anawashangaa Wanasheria katika kesi ya Tundu Lissu

Nilikuwa nawaza madeni, lakini ghafla nimejikuta nacheka kama vile nimesamehewa madeni yote! Ama kweli sasahv bungeni kila mtu ameruhusiwa kuingia!
 

Kutafuta justifications za ujinga wa wabunge wa Ccm ni dakika ya wewe pia kuwa Mjinga
 
Hahahahaha tatizo wanawazoa tu
 
Hizi taasis zeru za ulinzi na usalama zinaenda kuwa compromised na politicians. Katiba lazima ichore red line wasije kunajisi hizi taasis kwa matakwa yao
 
Hahaha hawa ndio wabunge tulionao mule ndani. Huyo aliyeiomba serikali iunde chombo huru cha kuisimamia serikali wala hajui kwanini yupo bungeni, atakuwa na mtindio wa ubongo 🤣🤣
 
wabunge kama hao ni kikosi cha watu wa hovyo, kujenga huoja huwez, vifungu vya sheria huwezi

Halaf ana hoji professionals wa hiyo field, wakianza kumgaragaza asije lalamika
 
Nchi yetu inaongozwa na wajinga, werevu hawataki kuingia siasani wanavizia tu teuzi!
 
Bunge la tanzania linaongoza kuwa na vilaza ......

Ova
 
Ni sawa na msibani,uanzishe kumponda marehemu mbele ya ndugu zake kwa Tabia mbaya alizokuwa nazo marehemu!
 
Yule kwa watu wa kawaida wanaooenda mihemuko wanaweza wasimuelewe huwa anatema substance tu siyo porojo kiki kama wale wengine halafu baadae wanakuja kujiliza mbele za camera
Yule dr nshala alishakuwa raisi wa tls na ni mbobevu ,phd kwenye sheria siyo mtu wa kawaida, ila kutokana na watanzania wengi elimu hii duni tunayopewa tunapenda mihemuko na kiki kuliko ukweli na substance ndio maana ngumu kumuelewa
Leo watu wapo tayari kufuatilia kama zuchu kaachwa na diamond ila hawapo tayari kujua hata hiyo reforms za lissu ni kitu gani ,ndio hali ya taifa ilivyo
Malaria 2
 
Hahaha hawa ndio wabunge tulionao mule ndani. Huyo aliyeiomba serikali iunde chombo huru cha kuisimamia serikali wala hajui kwanini yupo bungeni, atakuwa na mtindio wa ubongo 🤣🤣
Nilishangaa sana aises dah
 
Kwa sasa uwezo wa wabunge kujenga hoja umeshuka Sana..
 
Mwafrica ana weza kupewa dollar 5000 akateketeza kijiji kizima,kwa dollar 5000 akauza madini ya bilioni moja,akamsaidia mhindi au mchina kujenga barabara chini ya kiwango.Mimi sioni cha kushangaa kwa huyo mbunge kwa sababu kwake kilichomo kichwani ni hela sio legacy.
 
Nao wanamshamgaa kafikaje hapo bungeni
 
Kwani kwenye kesi anataka awaone mama ntilie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…