Nimesikia mpenzi wangu anavuta bangi, nifanyaje?

Nimesikia mpenzi wangu anavuta bangi, nifanyaje?

Nimekata tamaa ya kuwa na huyu mtu baada ya kusikia anavuta bangi,sigala,madawa na pombe Ungekuwa weh ungefanyaje? Japo anaonesha malengo kwenye mahusiano lakini tabia zake ninazoambiwa zimenivuruga
Muombee abadilike au uachane naye asijekukusumbua baadaye.maamuz ni yako
 
Back
Top Bottom