Nimesikia PSPF wanatoa mikopo ya viwanja kwa wanachama wake

Nimesikia PSPF wanatoa mikopo ya viwanja kwa wanachama wake

balozi tz

Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
57
Reaction score
8
Tafadhali habari ya muda huu?

Unajua nimekaa nikajiuliza je? Hii mikopo ni ya kweli au vipi??

Je!? PSPF na mifuko mingine ipi iko boraa zaidii

Naomba tusaidiane....
 
Back
Top Bottom