Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kutoka Radio One asubuhi hii saa 12:50 kipindi cha Nipashe, Nimemsikia msoma risala ya kumuaga Kiongozi mmoja wa JWTZ akisema Chacha Suguti alizaliwa wilaya ya Tarime - mkoa wa Mara uliopo Kaskazini Magharibi mwa Tanzania!!!
Hivi reference point huwa iko wapi tunapotaja hizi locations?
Je, ni katikati ya nchi au Dsm?
Hivi reference point huwa iko wapi tunapotaja hizi locations?
Je, ni katikati ya nchi au Dsm?