Hayo ni majibu mepesi. Niungane na nani?Ungana nao
Yote ni mikoa ya kanda ya ziwa ukigawa kwa kandaNa Kagera iko wapi
Je tunatumia reference point gani
Tunaposema Dodoma na Singida ni mikoa ya kanda ya Kati, Kigoma Magharibi nk tunakuwa tumesimama wapi?Yote ni mikoa ya kanda ya ziwa ukigawa kwa kanda
Na ni mikoa ya kaskazini magharibi ukitumia true north...!?
Kazi kwako kuelewa au kukalili...!
Nilitamani nisikujibu ila ngoja nichangie...Tunaposema Dodoma na Singida ni mikoa ya kanda ya Kati, Kigoma Magharibi nk tunakuwa tumesimama wapi?
Tunakuwa tumesimama wapi tukiwa na ramani ya Tanzania
Majibu utakuwa umepata sasa...!