Nimesikiliza mahojiano ya Prof. Assad na Kikeke, huyu Prof. ana ujuaji mwingi. Unafukuzaje mfanyakazi akikataa kufanya majukumu ambayo sio yake?

Huo ndiyo ukweli, mimi nilikuwa nafanya kama project Engineer lakini nifanya kazi za manunuzi na monitoring and evaluation niliona kawaida sana na ilinisaidia kujenga ufahamu wangu na kufanya kazi under pressure. Leo hii naweza kufanya multiple task bila shida yoyote. Watanzania wengi ni wavivu na hatujiongezi, bali tunajivunia uzoefu wa kufanya kazi moja kama kondoo
 
Kwani aliumia?, ajali ni kitu kingine, ndiyo maana hatuna uwezo wa kujiongeza kufanya mamuuzi, mtu anaenda kazini kila siku ila hakuna anachokamilisha yuko busy kusign in and out. Maisha lazima ucheze nje ya duara na hii itakupa manufaa mazuri sana katika yako.
 
Asad huwa anaamini hakuna mwenye akili kama yeye!

Hii lilitokana na Sifa alizopewa baada ya kutimuliwa na jiwe!
Zile ndio zikamlevya
CHARACTERISTICS ZA HIGH CIRCLE.

- High Circle, hawaamini ktk GHARAMA, Bali wanaaamini ktk QUALITY .

- Wananunua/Wanadeal QUALITY not QUANTITY!

- Hawapendi negotiations za Muda mrefu! They need only facts on your price.

- Hawapendi Kona kona!

- Wana recommendations connects nyingi. Ndio maana ukifanya kazi na mmoja, ni rahisi kupata kwa mwenzie.
Chukuwa hii itakusaidia, kama hauko kwenye kundi hili usiumie bali tengeneza character.
 
Huruma kwako osha imekupita kushoto
 
itoshe kusema wewe ni kiazi mbatata
hasara taslimu kwa taifa
ulitaka prof asad afanye nini?
nani asiyejua jiwe alivunja katiba kumtimua asad
asad alivunja nini kwenye katiba au sheria ipi? eti kiazi mbatata
 
Wanaofanikiwa kwenye miasha ni risk takers tu, kama angepata ajali insurance ingelipwa na ofisi yake inge handle hiyo isue, by the way mechanical na electrical wanashabiana vitu vingi sana.
Sawa bwana electrical cum mechanical
 
Hizo apeleke kwa mkewe
 
Sure ndo mana hata mtu kutubutu kuomba kazi ulaya hataki anakomaa na kazi iyo iyo mpka kufa kujiongeze kuna kuongezea awareness
 
Kwa kweli Prof pale hakuchagua sawa sawa Cha kuongea
Anyway mwisho wa hadithi yake nimeona Magu alikuwa sawa
Maana huwezi mbadilishia mtu majukumu nje ya mkataba wake wa kazi kwa lazima na haraka haraka unasema fukuza huyu!!
Yeye kufukuza wenzake ni sawa lakini yeye kufukuzwa ni story
 
Umekosea uliposema mshika dini. Kweli prof ni kati ya waislam wasomi wachache wanaojitambua Wakiristo wengi wa hf hawapendi kama wewe
 
Ninachokiona Kwa Assad kaathirika kisaikolojia na haamini kutoka kwake pale na nahisi hiyo sehemu inalipa sana Kila akikumbuka anabaki kuweweseka akipata airtime anabwabwaja akihisi atapata huruma lkn wapi na chuki kubwa kaielekeza Kwa marehemu na misingi yake inakataza chuki hizo sijui yy inakuwaje
 
Mbinafsi, mwenye msongo pia, possible na mtindio juu. Lakini pia hiyo ndio kasumba ya wajionao kuwa WASOMI. Elimu yetu ni matakataka tupu.
 
WEWE NA ASSAD HAMUELEWI MNAJAZANA UJINGA. NDO MAANA ANALIA LIA MPAKA LEO
Ulitaka asimlilie mkewe anapomkumbuka?

Kama wewe huna uwezo wa kuoa au kuolewa na huijui ladha yake, usikejeli wenzako kwenye hilo

Ulimuona Assad akililia nini kingine?
 
Mlitaka asijibu maswali anayoulizwa? Assad hana shida ya airtime akitaka airtime si anaita waandishi wa habari anafanya press conference tu, unafikiri mwenzako yule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…