Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
- Thread starter
-
- #21
Hawa WASAFI wanalindwa kwasababu MLEZI wao ni Mkuu wa Mkoa, ila raia/msanii mwingine akifanya hayo lazima aozee jela. Ushawishi huu una athariKazi wanayoifanya tena mfululizo bila kupumzika lazima matumizi ya bangi etc yahusike
Kama sio muuza bangi, harmonize atakua basha wako wewe.Kuzungumzia mambo ya mwanaume mwenzio ni ushoga na umama wa kiwango cha juu sana,
Badilika ila kama umezoea kufyatuliwa endelea.
piece of garbage🚮Habari wana JF,
Mimi kama raia mwema na mzalendo wa nchi yangu Tanzania, nimesikitishwa na VIDEO iliopostiwa na msanii WOLPER katika page yake ya Instagram ikimuonesha msanii mkubwa (Kioo cha Jamii sio Tanzania pekee bali Africa kwa ujumla) HARMONIZE akicheza mziki na mpenzi wake huku akivuta kitu kinacho ashiria kama BANGI/HASHISH au pengine ni sigara (akiificha isionekane mkononi).
Mpaka sasa sijaona vyombo husika, JESHI LA POLISI wala TCRA kikitoa taarifa ya kumwita na kumhoji, sambamba na kumpima damu/mkojo na kumkagua makazi yake ili kujiridhisha kama anatumia madawa ya kulevya (Iwe ni BANGI/HASHISH au vinginevyo) au ni sigara ama hatumii chochote.
Tumeshuhudia wasanii kadhaa wakiitwa kwaajili ya kusadikika wanatumia madawa ya kulevya, walikaa Central Police kwa siku kadhaa, walipelekwa kupimwa mkojo, walipekuliwa majumbani kwao, na kisha kufikishwa mbele ya mahakama kujibu tuhuma za kutumia madawa ya kulevya. Na baadhi yao (Wema Sepetu & Hayati Masogange) tulishuhudia wakikutwa na hatia mbele ya mahakama. Baadhi ya raia tulifurahishwa sana na utendaji wa police kwenye kufanya hivyo (Police waliweza na walitoa fundisho kwa hilo).
Tulishuhudia Mh Tundu A Lissu alipokamatwa, kwa kusadikiwa kutoa maneno ya Uchochezi & Kumtusi Mh Rais, alipopelekwa Central Police, alihojiwa na kuchukuliwa maelezo kisha walitaka kumpima mkojo kujiridhisha kama anatumia madawa ya kulevya (Japo kwa maneno yake mwenyewe alisema ALIGOMA kwenda kupima kwasababu hajakamatwa kwa kosa la kutumia madawa ya kukevya).
Ni hatua nzuri Jeshi la Police linazochukua kudhibiti madawa ya kulevya (Kwa matumizi na biashara). Hongereni,[emoji122]
Wito wangu hatua stahiki zichukuliwe ili kujiridhisha, sambamba na kutushawishi raia kua jeshi letu la Police linafanya kazi kwa "IMPARTIALITY AND UTMOST-GOOD FAITH" na weredi.
NB Tuna wadogo zetu, ndugu zetu, jamaa zetu, jirani zetu, marafiki zetu, na wengine wana watoto zao AMBAO NI VIJANA WADOGO SANA, wanaoweza kuingia katika janga la madawa ya kulevya either kujidunga au kuvuta bangi kutokana na ushawishi sehem tofauti tofauti, (hasa ushawishi wa wasanii ambao wameisha waharibu vijana wengi wadogo wa KIUME kuvaa HERENI/VIKUKU na KUNYOA VIDUKU/KUSUKA).
Wana haribu MILA NA DESTURI zetu kama Watanzania. Na tuwalinde vijana wetu sote kwa pamoja.
Link ya video hio;
#Kuna baadhi hamtaridhishwa na nlichoandika (mtakua ni wapuuzi msiojua nini maana ya uzalendo).
#Povu ruksa,#Kunitukana ruksa.
Ila nimetimiza wajibu wangu kufikisha taarifa hii, ili kulinda vijana wenzangu kwa ushawishi na mifano mibaya wanayopata.
Mi pia sioni tofauti yako na AMBER RUTTY.Siioni tofauti yoyote kati yako na James Delisious,
kwa tabia hii ya kupiga majungu wanaume unaachaje kufiirwa sasa.
Acha mambo ya kike ikiwa huna uke shoga we!
Siioni tofauti yoyote kati yako na James Delisious,Kama sio muuza bangi, harmonize atakua basha wako wewe.
Kuna wakati jifunze kusimama kwenye haki na ukweli, usiwe mpumbavu kiasi hicho. Swala la kufanya KOSA LA JINAI sio hoja ya jinsia. Tumia akili f*la wewe
Rudi kachangie nyuzi za zamani...joking...ni kweli jf ina wambea wa kutoshaJF ya siku hizi imejaa wambea na wapiga majungu,
itoeni bangi kwenye kundi la madawa ya kulevya ase , msiishirikishe na vitu vya kishenzi , ushaona mtumiaji wa bangi kapelekwa soba hausi??
Ciroc inatoa Moshi kumbe?Siyo bangi hiyo umekurupuka ni cirock!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaan acha tu, vijana wanakazi na hvyo vibegi ukiiza bei yake sasahv utakimbiaHizi fashion za vijana wa siku hizi balaa...hicho kibegi alichovaa mmakonde si wanatumia wamama wanaouza sokoni
Bang ni tiba ya nervous system.Habari wana JF,