Leo mtalalamikia kila kitu, kundi la wanung'unikaji.
Tanzania bado tunasafari ndefu sana kufikia demokrasia ya kweli.
Kauli aliyoitoa Mkapa kwamba kipindi cha uongozi wakae hakuwa tayari kuwa na Serikali ya Mseto simply b'coz hakuwa tayar kuona Zanzibar ikiwa chini ya Cuf afu nikiwa kwenye process yakupost hi thread mwenzie(Kikwete)anasistiza wapo tayari ila iwapo tu ccm itashika dola.Swali nani anaamua hapa!!Hamna uchaguz huru na wa haki hapo coz washaamua hapo,Sa cjui huo muafaka na serikali ya Mseto maana yake nini.
Leo mtalalamikia kila kitu, kundi la wanung'unikaji.
Haa haa haaaa !Nilimstukia yupo Mtungi ...
Burn hajazungumzia damu iliyomwagika Tabora
Nimemsikia jana Mkapa alivyokuwa anabwabwaja na kama ulitmtizama vizuri alikuwa ameunyaka kidogo. Alipata ujasiri wa kuwatukana wapinzani wake kutokana na umati mkubwa uliokuwa umesombwa pale na malori.
Kama yeye ni jasiri kweli -- si aitishe tu mkutano na waandishi wa habari wamuulize kuhusu tuhuma zake za ufisadi kama vile -- Kiwira Coal Mine, EPA, radar na ndege ya Ikulu? Anaogopa nini? Hana ujasiri wowote, ni mwizi tu.