Nimesikitishwa sana na kifo cha Mhubiri wa Marekani Jimmy Swaggart

Free palestine ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ
Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ”ฅ
 
Ila ya watoto, wamama nacwazee wa Gaza ndio hayawasikitishi sio??

Free palestine ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ
Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ”ฅ
 
Ikawaje akaingia kwenye mdahalo wa kimwili sasa?
 
Upumbavu mtupu mna hubiri nini na wakati amtambuliki hata na huyo mungu... kwanza injili wala biblia amuhijui๐Ÿ™„
 
Binadamu mwisho wetu ni mfupi,na kama una nguvu ni miaka 70!
Sorry:Siku za Miaka yetu ni miaka sabini,Naikiwa Tuna Nguvu Miaka Themanini;Na kiburi chake ni taabu na ubatili, maana chapita upesi Tukatokomea Mara .(Zaburi 90:10).Mungu atushushe kiburi na majivuno,kila ausomaye na aseme, AMINA!
 
Ameishi umri wa kutosha tena na Zaidi kwa mujibu wa maandiko ya Biblia takatifu. Apumzike kwa amani mtumishi wa Mungu ๐Ÿ™
 
Ila ya watoto, wamama nacwazee wa Gaza ndio hayawasikitishi sio??

Free palestine ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ
Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ”ฅ
Ugaidi wa wapalestina unahusika vipi kwenye hii mada?
 
Mwenye tร arifa za mhuburi anaitwa Roy Durman alitema sana cheche wakati wa moto wa "The big November Crusade"
 
Hakuuza karama ya Mungu. Jimmy alianguka na kusimama; kwa mwenendo wake kama mwanadamu alikuwa na mapungufu; lakini hakuwahi kupindisha ujumbe wa wokovu wala kuuza karama ya Mungu wala kujikomba kwa wanasiasa.
Hapa ungerudiarudia km matatu hivi ili ujumbe ufike mpaka kule kwenye Hema
 
Naona unarusha mawe kule zilipomwagwa Billion 15
 
Mwache akapumzike kwa Baba! Kazi aliyotumwa na Mungu kuifanya ameimaliza.
 
Mwache akapumzike kwa Baba! Kazi aliyotumwa na Mungu kuifanya ameimaliza.
 
Mwache akapumzike kwa Baba! Kazi aliyotumwa na Mungu kuifanya ameimaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ