Mkuu wamevunja sheria gani.Jana niliona jinsi wananchi wa mkoa wamara walivyokuwa wanashabikia ukeketaji wa vibinti vidogo tena siyo kwa ridhaa yao Sheria zipo na wanazivunja na vyombo vina kaa kimya Hivi hawa watu wapo juu ya sheria ama vyombo vimeshindwa kufanya kazi Sasa hawa ni wazazi wa kesho itakuaje? Kuna mmoja alikimbia na hii inaonyesha wazi kuwa watoto hawapendi ila wanalazimishwa kufanyiwa kitu wasichopenda. Imeniuma sana
Jana niliona jinsi wananchi wa mkoa wamara walivyokuwa wanashabikia ukeketaji wa vibinti vidogo tena siyo kwa ridhaa yao
Sheria zipo na wanazivunja na vyombo vina kaa kimya
Hivi hawa watu wapo juu ya sheria ama vyombo vimeshindwa kufanya kazi
Sasa hawa ni wazazi wa kesho itakuaje?
Kuna mmoja alikimbia na hii inaonyesha wazi kuwa watoto hawapendi ila wanalazimishwa kufanyiwa kitu wasichopenda.
Imeniuma sana
mila zingine we zisikie tu....hii itachukua muda sana hawa jamaa kubadilika.......tena umesema ni mkoa gani vile?....let me end here
Kama kuchinjana, kwao wanaona kama utukufu ije kukeketa? Hata ukikimbia usikeketwe, ole wako ubebe mimba siku ya kujifungua hosptal vibibi vinakuja ukiwa na uchungu vinakufyeka tu. Hao jamaa sijui wakoje hakuna waku elimisha wengine MABISHIII.... MAGOMVIII......Mkoa wa MARA
Jamani oneni aibu
Kwa nini mnawakeketa wakina Bhoke, Obhari, Nyanswi, n.k.
Embu ondokaneni na mila zisizokuwa na faida
Kama kuchinjana, kwao wanaona kama utukufu ije kukeketa? Hata ukikimbia usikeketwe, ole wako ubebe mimba siku ya kujifungua hosptal vibibi vinakuja ukiwa na uchungu vinakufyeka tu. Hao jamaa sijui wakoje hakuna waku elimisha wengine MABISHIII.... MAGOMVIII......
Sidhani kama kuna sheria hapa!Jana niliona jinsi wananchi wa mkoa wamara walivyokuwa wanashabikia ukeketaji wa vibinti vidogo tena siyo kwa ridhaa yao
Sheria zipo na wanazivunja na vyombo vina kaa kimya
Hivi hawa watu wapo juu ya sheria ama vyombo vimeshindwa kufanya kazi
Sasa hawa ni wazazi wa kesho itakuaje?
Kuna mmoja alikimbia na hii inaonyesha wazi kuwa watoto hawapendi ila wanalazimishwa kufanyiwa kitu wasichopenda.
Imeniuma sana
Mie niliwahi kwenda tarime (kikazi) walitaka kunikeketa kisa nimewakamata wamekula pesa. Hawafai hao watu sijui wananini
Ulisalimika kweli wewe? Nina shaka....unahitajika kufanyika uchunguzi
Unifanyie mara ngapi??
:🙂) hii movie ya leo tamu tamu kama sukari
Unifanyie mara ngapi??