don g dou
Member
- Jul 6, 2017
- 73
- 9
Kama nalivyo sema hapo juu kuna mzee jirani yangu amenisingizia kutaka kumshaburia chanzo ni kwamba alikua anadai mpaka wa shamba lake aliaza kudai tarekebishe naye nikamwabia aenda kwa mzazi kwa sababu mimi ninalima tu mala ya kwaza alienda wakaonana wakalekebisha mpaka yakaisha nilishangaa wakati ilipo fika palizi akaja tena na kuniambia tarekebishe nikakataa alienda kuitae wazee akaja nao wazee Hawakuona tatizo kwangu wakamshauri akakataa nakugeuza alitaka kukatwa jembe je nitakutwa na hatia au naweza kufungwa