ABUBAKARY Barnabas
Member
- Nov 14, 2023
- 71
- 53
Ndio unaweza bila kikwazo chochoteNina diploma ya record management GPA 3.1 kutoka TPSC naweza kusoma accountancy kwenye degreee
Kasome TIA ya singidaJe chuo gani hutoa koz hiyo vizuri
Institute of accountancy ArushaJe chuo gani hutoa koz hiyo vizuri
Naomba msaaada majibuUnasoma bila shida.
Pitia 2024/25 undegraduate Admission Guidebook ya TCU kwa ajili ya taarifa zaidi.Nina diploma ya record management GPA 3.1 kutoka TPSC naweza kusoma accountancy kwenye degreee