mbona umefaulu dogo si 11.12 hiyo..hata ukitaka b.com udsm..utasoma..kwa economics si faham ila kuna manzi alipata kama yako yuko economics sasa sijui wewe ni mdada au mkaka..ila kifupi umepiga fresh tu wala hamna tatizo..nimepata D flat na S S kwa bam na gs... naombe ni ushaur nikasome faculty gan yenye faida mbelen... thnks