Nimesoma Hotel Management, natafuta kazi

Nimesoma Hotel Management, natafuta kazi

Ibrahim daud

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
609
Reaction score
524
Naitwa Salma Hussein Chuku

Nina miaka27 Elimu yangu mpaka form four nimesomea Hotel Management ila si kubahatik kupat ajira popote uzoefu wng ni biashara

Msaada wenu waungwana nipate kazi

0684 05 76 98
 
Ungeomba moderators wakubadilishie kichwa cha habari chief.

Ionekane kuwa unatafuta kazi na umesomea hotel management.

Hotel management ni kubwa chief..upo hasa wapi?
 
Back
Top Bottom