Ibrahim daud
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 609
- 524
MhudumuUngeomba moderators wakubadilishie kichwa cha habari chief.
Ionekane kuwa unatafuta kazi na umesomea hotel management.
Hotel management ni kubwa chief..upo hasa wapi?
Sawa..ngoja nicheki na mtu fulani kama bado ananafasi tuone tunasaidianaje….Mhudumu
AsanteeKila la kheri...
Amina nduguSawa..ngoja nicheki na mtu fulani kama bado ananafasi tuone tunasaidianaje….
Si uhakika 💯 ndugu yangu.
Mungu afungue njia kwako🙂