Habari zenu watanzania ndugu zangu
Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya uandishi na utangazaji wa habari, call center au afisa uhusiano wa umma
Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo Dar es salaam wilaya ya Ubungo,kimara.Asanteni