Ameli Mligo
Member
- Apr 18, 2018
- 28
- 16
Nothing is impossible under the sun, yaani uweze physics ishindwe MBA? Go with a positive mind,
[/QUO
Yeah thx for encouraging
Nothing is impossible under the sun, yaani uweze physics ishindwe MBA? Go with a positive mind,
MBA anasoma mtu wa fani yeyote.
Utapata shida kwa sababu unaenda kuanza kukisoma kitu ambacho hauna msingi nacho tena kwenye ngazi za juu, cjajua vigezo vyao kama utaendana navyo ila utakua umekidhi vigezo bc hakikisha uwezo wako wa uwelewa ni mkubwa la sivyo utapata shida.
Nilisoma science, kufika chuo jamaa alisoma ECA akawa anachukua BED-COM aliniambia maneno haya haya wakati mmi nimechagua BBA na sijawahi kusikia hata definition ya COM/ACC akasema nikijitahidi ni C au Supp. Ila hadi namaliza chuo sikuwahi kupata C somo lolote nililofeli ni B plain
Labda uwe umeenda kucheza, yaana Chemistry iwe kichwan, Physics iwe kichwan then ushindwe kukomaa na MBA tu...?
Mimi nianze kwa kukutakia kila la kheri kabisa.
HakikaHahahahaha
Asante sana kaka nadhani nitashinda
Unakuja kutafuta huruma humu etiAsante mkuu nimekuelewa
Namfahamu kijana alisoma BVM(Veterinary) na alipomaliza akafanya MBA. Na aina hii wako wengi tu. Pitia prospectuses za vyuo ujiridhishe kwani hata MBA ziko za aina nyingi. Chagua omba na utafanikiwa kupata admission, baada ya hapo kazi ni kwako.Habari wana JF,
Ninasoma bachelor degree ya education (Physics na Chemistry) but baada ya kugraduate nataka nikasome masters of business administration. Nina maswali kadha nitashukuru nikijibiwa.
1. Kwa sababu nimesoma pure science ninaweza kumanage kusoma hiyo masters bila shida.
2. Je, naweza nikaisoma vizuri bila shida yoyote kama nikisoma open university?
Hio kawaida sanaaaaaaIvi inawezekana mtu aliyesoma arts A_level , chuo akachukua degree ya biashara Kama accountancy and finance ?
Hhahhahahahah broo mbona masihara mengi hadi kwenye maisha ya watu?.Miaka hii mtu ukiferi chuo wewe ni utoporo, ata mwana art pure akienda kusomea MD anatoka na cheti