Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Nikadhani ni mimi tu nmeonaMbaka ndo nini Tena!?
Umesoma "mbaka" chuo? Wewe inatakiwa uajiriwe kwa cheti cha darasa la 7. Inakuwaje vijana mna degree ila kuandika vizuri kiswahili hamuwezi?Baada ya kujitolea kufanya kazi kwenye taasisi fulani binafsi kwa miaka si chini ya miwili nimepewa mkataba.
Nimelazimishwa kutumia cheti cha kidato cha sita wakati nina elimu ya chuo(degree) nimefadhaika kimtindo.
Inaonekana watu wenye elimu kubwa kuanzia degree, masters na PhD kwenye baadhi ya taasisi ni tishio kubwa kwa kuwazidi baadhi ya wakurugenzi kielimu.
Usishangae mtu wa ngazi ya cheti akapata dodo chapu wewe wa degree ukawekwa pending.