Nimesoma miezi 3 A'level nimefaulu ijue siri.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Ni kweli wakuu nilianza kujisomea mwenyewe ili kufanya mtihani wa ACSEE kuanzia mwezi wa 10 mwaka jana nimepata daraja la 3 points 13 yaani history D english D na kisw E siri kubwa ikiwa ni vitabu vya Mwl katto mastering history 1 na 2,
 
Wendo kato mwenyewe acha kujipa promo
 
acha matangazo ya biashara ya kisiasa....but fine thanks for the highlight....Tumeshakijua kitabu
 
Vitabu vingine ni vya Nicholous Asheli vya english kwa kweli vitabu hivi ni vizuri sana hakika vimenisaidia sana.
 
Mkuu kweli vitabu vya Kato History 1&2 si mchezo kabisa, Ukitaka kufaulu basi piga hvyo tu lazima utoke.
 
Hivyo vitabu vya kato mi nilivisoma kwa ifasaha na nikafail. Waambie vizuri raia, usilete promo hapa
 
Kumbe HKL mi nilijua comb zetu zile zinazomtofautisha mwanafunzi wa Advance na wa O'level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…