NIMESOMA SOMEWHERE: “Africa Accepts Waste From Europe, America and Asia”. 😳😳

NIMESOMA SOMEWHERE: “Africa Accepts Waste From Europe, America and Asia”. 😳😳

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Daah, shikamo Umaskini. Nchi yangu pia imo.

Rwanda na Kwnye wamepiga burn ya kupokea takataka kutoka Ulaya, US na Asia.

Daah, Afrika jamani.
 
Killa nyanja kuanzia vitabu, vifaa,magari hadi Mitumba vyote chakavu Huku mupyaa
 
Daah, shikamo Umaskini. Nchi yangu pia imo.

Rwanda na Kwnye wamepiga burn ya kupokea takataka kutoka Ulaya, US na Asia.

Daah, Afrika jamani.
Sasa kama nchi inalima pamba halafu hatuna kiwanda cha nguo, tunabaki kutengeneza tu kanga na vitenge acha tudharauliwe.
 
Ni akili zetu tu ndio kipengele, nchi kama Sweden nayo inapokea takataka nyingi kutoka nchi za ulaya; lakini badala ya kuzitupa kwenye madampo zinachomwa kuzalisha umeme
 
Back
Top Bottom