Sisi hatujapinga😭Daah, shikamo Umaskini. Nchi yangu pia imo.
Rwanda na Kwnye wamepiga burn ya kupokea takataka kutoka Ulaya, US na Asia.
Daah, Afrika jamani.
Sasa kama nchi inalima pamba halafu hatuna kiwanda cha nguo, tunabaki kutengeneza tu kanga na vitenge acha tudharauliwe.Daah, shikamo Umaskini. Nchi yangu pia imo.
Rwanda na Kwnye wamepiga burn ya kupokea takataka kutoka Ulaya, US na Asia.
Daah, Afrika jamani.