Nimesoma utangazaji na Uandishi wa Habari, natafuta kazi

Nimesoma utangazaji na Uandishi wa Habari, natafuta kazi

Habari zenu watanzania wenzangu.

Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya Uandishi na Utangazaji wa Habari, Afisa Uhusiano au call center

Napatikana Dar es salaam, Wilaya ya Ubungo.Asanteni.

Soma Pia: irect Sales Agent – 85 Positions at Akiba Commercial Bank August, 2024
nitafute kwa namba 0764 22 8384 NB uwe unaweza vitu vifuatavyo
photo journalism
video production
video editing
graphic design for print and electronic media
 
nitafute kwa namba 0764 22 8384 NB uwe unaweza vitu vifuatavyo
photo journalism
video production
video editing
graphic design for print and electronic media
Ambao tunaweza kutangaza pekee tusikutafute mkuu?
 
Back
Top Bottom