Nimesoma vitabu 655 na haya ni mapinduzi makubwa saba yaliyotokea maishani mwangu

Nikisoma vitabu 5 selective kila topic na kwa author anaoeleweka:

  • Cha mahusiano na ndoa.
  • Cha kiroho.
  • Motivational.
  • Area of expertise
  • Malezi

Life, yani maisha yote, na nikaviishi vizuri nitakuwa mtu bora sana, bold neno kuviishi.

Kamwe sitajisifu kwa idadi ya vitabu nilivyosoma, maana inaweza kuwa usomaji shallow tu.
 
Ahsante, hivi ulikuwa unasoma soft copy au hard copy ya vitabu?
 
Bakhresa hakuwa bilionea ndani ya siku moja,
Na mimi lazima nitakuwa bilionea,
Nukuu na utunze haya maneno.
Schoolmate wangu pale Ilboru jieoushe kuwa motivation speaker acha kujiapiza. Hivyo vitabu ulivyosoma vitakuharibu badala ya kukujenga
 
Sawa Napoleon Hill
 
Schoolmate wangu pale Ilboru jieoushe kuwa motivation speaker acha kujiapiza. Hivyo vitabu ulivyosoma vitakuharibu badala ya kukujenga
Mkuu, mbona hata wewe utakuwa bilionea ukiamua?

William James, Profesa maarufu wa Saikolojia anasema, "Whatever the mind can conceive and believe, will achieve"

Kwa kuwa mleta mada ameshaamua, endapo hatabadiki maamuzi, lazima atakuwa bilionea.

Na wewe ukiamua na kuyaishi hayo maamuzi, ubilionea hautaweza kukupiga chenga.
 
William James, Profesa maarufu wa Saikolojia anasema, "Whatever the mind can conceive and believe, will achieve"
Acheni ujinga duniani tuko 7bn. Kila mtu ana mind ya kuw bilionea.

Mpaka sas akuna bilionea wangapi?

Visions without working it is just an empty optimsm
 
Acheni ujinga duniani tuko 7bn. Kila mtu ana mind ya kuw bilionea.

Mpaka sas akuna bilionea wangapi?

Visions without working it is just an empty optimsm
Kwa hiyo wewe umeamua kutokuwa bilionea?
 
Kwanza ningetamani kujua kazi unayofanya.
Namna unavyogawa muda wako kusoma vitabu viwili kwa wiki.
 
Kitabu koma kwa mwezi kinatosha sana..

VItabu 12 kwa mwaka vinatisha sana.

Unatafuta vitabu viwili safi kabisa kutoka katika kila nyanja unakoamaa navyo.

Kisha baadae unasoma just for leisure tu kama unavyoangalia movie n.k..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…