Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Ndugu zangu wapwa, shangazi na wengine kwa ujumla mimi Fidel nimeamua kujitoa rasmi kwenye chama cha kujiexpress kwa hiari yangu mwenyewe bila kushrutishwa na kiumbe yeyote yule. Nimeona sipati faida yeyote ile ndo maana nimeamua kutamka wazi wazi kuwa nimeacha rasmi, mnichukulie mtu wa kawaida tu sasa maana wengine walikuwa wananiogopa napo pishana nao barabarani zile KY zote nimesha zichoma moto...nilio wakwaza kwa kutumia huu mtandao naomba mnisamehe.