eeh!Ndugu zangu wapwa, shangazi na wengine kwa ujumla mimi Fidel nimeamua kujitoa rasmi kwenye chama cha kujiexpress kwa hiari yangu mwenyewe bila kushrutishwa na kiumbe yeyote yule. Nimeona sipati faida yeyote ile ndo maana nimeamua kutamka wazi wazi kuwa nimeacha rasmi, mnichukulie mtu wa kawaida tu sasa maana wengine walikuwa wananiogopa napo pishana nao barabarani zile KY zote nimesha zichoma moto...nilio wakwaza kwa kutumia huu mtandao naomba mnisamehe.
Fidel.... kama ni damage ilishafanyika.... utasafisha na sabuni gani hadi utakate?
hapana banakwa hiyo unanishauri niendelee na libeneke kama kawa au?
Bado Mpwa wetu mwingine Masa
Najua yuko around the kona kuachana na hii mambo
Tunakusubiri bestie utuabarishe kama alivyofanya Mpwa Fidel80
Aaah Mpwa, sasa kama umeamua kuacha kwa hiari, iweje tena urudi kwa kushauriwa? Mimi bado nitaendelea kukuchunguza kama umeacha kweli, then hapo ndipo nitakapokupongeza. Kwa sasa bado nina mashaka !!Kwa hiyo unanishauri niendelee na libeneke kama kawa au?
fidel.... Kama ni damage ilishafanyika.... Utasafisha na sabuni gani hadi utakate?
alovera