Wadau,
Nimefungua TCU website, katika News & Events nikakutana na hili tangazo:
mgogoro wa wafanyakazi na wanafunzi katika chuo kikuu kishiriki Dar es salaam cha KIU
Kwa haraka haraka ikanipa picha kwamba KIU imefanywa Chuo Kikuu kishiriki cha State University (UDSM), dah, moyo ulienda mbio sana, lakini nilipotulia nikabaini kumbe sivyo!